Tangazo La Ajira Walimu

at Witts pre & primary english medium day & boarding school
Location Musoma, Tanzania, United Republic of
Date Posted November 26, 2022
Category Education / Teaching
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Witts Pre & Primary English Medium Day & Boarding School (Iliyokuwa Jw Bukanga High School) iliyopo Bukanga karibu na kambi ya Jeshi ya Makoko mkabala na mitambo ya maji – MUWASA anatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:

Required profile for job ad : Tangazo La Ajira Walimu

  • Awe na elimu isiyopungua shahada ya kwanza na kuendelea.
  • Awe na historia nzuri ya kufaulisha mitihani ya kitaifa.
  • Awe na uzoefu wa kufundisha usiopungua miaka mitatu (3).
  • Awe anajua kutumia Computer na Internet.