Security Guard/mlinzi

at Siha Leadership School
Location Kilimanjaro, Tanzania, United Republic of
Date Posted October 11, 2021
Category Education / Teaching
Security
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

POOR UNEDUCATED CHILDREN & WIDOWS

FOUNDATION (PUNCHWMI)

Ni shirika la kijamii ambalo limesajiliwa rasmi Kisheria, lenye ofisi zake Sanya Juu, Wilaya
ya Siha – eneo la Karansi.
Shirika linapenda kuwatanagazia watu wenye sifa nafasi za ajira kwa mwaka huu wa –
2021/22. Kama ifuatavyo:-
Nafasi MOJA (01) ya Mlinzi

Kila mwombaji anapaswa kuwa na;
 Awe na uwezo wa Kuongea, Kusoma, Kiswahili. (Kiingereza ni kigezo cha ziada.)
 Awe mkristo aliyeokoka na mwenye maisha ya ushuhuda wa maisha ya kila siku.
 Awe amehitimu mafunzo ya mgambo na kutambulika
 Awe na uzoefu usipungua miezi sita katika kazi ya ulinzi.
 Awe na moyo wa kupenda watoto, kuwatumikia na mpenda maendeleo ya watoto.
 Awe na uwezo wa kufanya kazi kama timu (team work).
 Asiwe amewahi kutiwa hatiani kwa kosa la jinai na/ au la unyanyasaji wa mtoto/watoto.
 Awe na uwezo na elimu ya kutumia silaha.
 Awe tayari kufanyakazi muda wowote kama itakavyohitajika kwa maana ya usiku au mchana.
SIFA ZA MUOMBAJI:-

 

Applying Instructions

KITUO CHA KAZI
Kituo cha kazi kitakuwa katika Shirika PUNCHWM, lililopo eneo la Karansi, sanya juu -
Wilaya ya Siha.
Namna ya kutuma maombi, Mwombaji mwenye sifa atume maombi yake kabla ya tarehe
22/10/2021, saa kumi jioni (10:00 JIONI) kwenye anuani zilizoko hapo chini
akiambatanisha barua ya maombi, ‘CV”, vivuli vya vyeti, cheti cha kuzaliwa na barua ya
utambulisho toka kwa Mchungaji wa kanisa unaloabudu.
Kumbuka kuweka majina yako matatu.
TUMA MAOMBI YAKO KWA ANUANI IFUATAYO;-
MKURENZI PUNCHWMI,
BOX 224
SIHA.