Network Marketing Officer
Location | Iringa, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | January 11, 2022 |
Category | IT / Information Technology |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description

FURSA FURSA FURSA
??BFSUMA TZ??.
BFSUMA ni Kampuni ya kimataifa Toka MAREKANI inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaji wa VIRUTUBISHALISHE
•••Kwa MTAJI MDOGO KABISA WA ELFU AROBAINI NA SITA(Tsh 46,000/=)
***UTAFANYA BIASHARA yenye Faida Kubwa
++Utofauti wa BFSUMA na KAMPUNI zinginezo
1)UBORA WA BIDHAA,bidhaa zetu ni bora kwa kuwa na matokeo mazuri kwa kila mtumiaji
2)BEI YA BIDHAA,tuna bidhaa nyingi za Bei ya chini Ambazo watu Wengi wana Mudu hivyo itakurahisishia kufanya biashara kwa watu wa matabaka/level zote
Eg.tuna bidhaa hadi za ELFU NNE MIA SITA(4,600/=)
3)NAMNA YA KUANZA BIASHARA,ni rahisi kuanza biashara na BFSUMA kwani MTAJI unaohitajika ni elfu arobaini na Sita tu (Tsh 46,000/=)Ambayo watu Wengi wana mudu
....BFSUMA hatuna kuanza biashara kwa PACKAGE za kupangiwa uchukue bidhaa ambazo huna hata mteja wa hizo bidhaa
....Utachukua bidhaa ambayo una mteja anaihitaji au unayohitaji kuitumia
*** Tunaamini kumpatia mtu package ya LAKI 8,LAKI 5,laki3 nk Ambazo Magavi /wakala hana mteja wa hizo bidhaa ni kumrudisha nyuma KIUCHUMI kwani utakua umezuia MZUNGUKO wa hiyo pesa
4)MPANGO MASOKO BORA NA UNAOTEKELEZEKA,mpango masoko wa BFSUMA ni rahisi kwa kila Mwenye kujituma katika kufanya kazi hivyo huwezesha WAGAVI/MAWAKALA Kupata BONUS KILA MWEZI,ku QUALIFY SAFARI NA MAGARI
5)BIZAA AINA NYINGI NA ZINAZALISHWA NA KAMPUNI YENYEWE(BFSUMA),Kampuni ya BFSUMA ina bidhaa nyingi zaidi ya AINA 40 Zinazozalishwa na kampuni yenyewe hivyo huzungatia hitaji sahihi la watumiaji kwa wakati husika na kuendelea kuingiza AINA zingine kila wakati kuendena na mahitaji ya Soko,hij pia hufanya KAMPUNI KUWA NA UHAKIKA WA KUWEPO KWA MIAKA MINGI BILA KUYUMBA KWANI WAO WENYEWE NDIO WAZALISHAJI WA BIDHAA lakini KAMPUNI ZINGINEZO Hazizalishi bidhaa bali huingia Mikata na makampuni yanayozalisha bishaa hii huweza pelekea Biashara kukatishwa wakati wowote kwa kua mzaliahaji na msambazaji ni watu wawili tofauti
6)MGAVI/WAKALA HUNUNUA BIDHAA ANAYOIHITAJI HATA KAMA NI MOJA NA SIO KWA BUTCH(kundi)
...Kila bidhaa ina POINTS ZAKE
7)POINTS UNAZOPATA KWA KUNUNUA BIDHAA NI ACCUMULATIVE (zinakua na MUENDELEZO)ulipoishia MWEZI HUU ndipo utaanzia Mwezi ujao hivyo kukufanya KUFIKA LEVEL ZA JUU KWA HARAKA
8)BFSUMA NI KAMPUNI PEKEE YA KIMATAIFA AMBAYO imeanzia BARA LA AFRICA hivyo kila MGAVI/WAKALA ana Wigo mpana wa kutengeneza KIPATO KIKUBWA/KIZURI
hizo ni tofauti chache miongoni mwa nyingi .
NI VIPI UNAWEZA KUA WAKALA/MGAVI WA BFSUMA?
••MTU YEYOTE wa kiwango chochote cha Elimu, MWENYE KAZI NA ASIYE NA KAZI ,MWENYE AJIRA NA ASIYE NA AJIRA ANAWEZA KUA WAKALA WA BFSUMA.
•••Namna ya KUJISAJILI KUA WAKALA WA BFSUMA
**WASILIANA NAMI KWA NAMBA ZA SIMU
What’sApp & Call
Katika ELFU 46 utapatiwa
..1)CARD yenye Jina na Namba yako ya Wakala
..2)SACHETS10 Za bidhaa maalumu ya KUTOA SUMU MWILINI,kuimarisha INI,FIGO,MAPAFU,MFUMO MZIMA WA MOYO NA MZUNGOKO WA DAMU,kuimarisha KINGA YA MWILI
..3)KITABU kitakacho kuongoza kufahamu zaidi kuhusu BFSUMA ,BIDHAA NA MPANGO MASOKO
..4) BAGE ya BFSUMA
@FAIDA ZA KUA WAKALA WA BFSUMA
a) UTAPATA PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA BIDHAA ZA BFSUMA
b) FAIDA YA MAUZO YA REJA REJA KWA KILA BIDHAA na Bei kwa Mteja wako MPANGAJI NI WEWE
c) KILA MWEZI UTAPATIWA BONUS(KAMISHENI) toka kwa Kampuni kulingana na Points ulizojikusanyia Ambazo hutokana na Bidhaa ulizouza kwa Mwezi Mzima
d) KILA MWEZI UTAPATA BONUS(KAMISHENI) ya PILI ,hii itatokana na kazi itakayofanyika na Mawakala wapya utakao Wasajili kwani Ukisha Kua Wakala wa BFSUMA unaruhusiwa kusajili Watu wengine kua Mawakala hivyo BFSUMA itakupa sehemu ya Fidea iliyoipata kutokana na mauzo ya bidhaa toka kwa Mawakala wapya uliowasajiliw baada ya wao pia kupatiwa Bonus/KAMISHENI Zao
e) SAFARI KWENDA NCHI MBALI MBALI ,hizi ni Faida utakazozipata Baada ya kufanya kazi na BFSUMA kwa Muda na kuweza kufikia NGAZI/level ya KIONGOZI/LEADER na kuendelea huwa kuna vigezo ukivifikia BFSUMA itakupipia safari ya kwenda Nchi husika iliyopangwa kwa Mwaka huo KUANZIA TICKET YA NDEGE KWENDA NA KURUDI,HOTEL YA KIFAHARI na Utalii wa maeneo mbalimbali ndani ya Nchi husika
...hii imekua rahisi kwa kua MPANGO MASOKO WA BFSUMA NI RAHISI NA UNATEKELEZEKA ndio maana kila Mwaka WAGAVI /MAWAKALA tofauti tofauti HUSAFIRISHWA NA KAMPUNI KWENDA NCHI TOFAUTI TOFAUTI mf.mwaka 2016 wagavi wali SAFIRI kwenda DUBAI,2017 ABUDHABI,2018 BEIJING ,2019 HONGKON na Mwaka huu wa 2020 SAFARI NI ZA KWENDA SouthAfrica,ABUDHABI na UJERUMANI
f) GARI,utakapofanya kazi na BFSUMA kuna NGAZI/LEVEL ambayo ukiifikia na ukaweza kuvifikia vigezo husika kampuni itakupatia GARI
..Hii hii pia inawezekana kutokana na UBORA WA MPANGO MASOKO WA KAMPUNI YA BFSUMA ndio maana Tumekua na Mawakala Tofauti Tofauti Wanaojipatia MAGARI YAO KILA MWAKA
NB: Bfsuma hatuna mambo ya SALES is an Option
Kampuni nyingi huwasisitiza WAGAVI/MAWAKALA WAO au watu wanaowaalika kwa mikutano yako kua KUUZA BIDHAA NI HIARI kwa kua BIDHAA ZAO NYINGI HAZINA MATOKEAO MAZURI KWA WATUNIAJI na PIA BIDHAA ZAO ZOTE NI BEI GHALI SANA
FIKIRIA CHUKUA HATUA
KILA KITU KINAWEZEKANA
JIUNGE NASI: