MPISHI II (28)
Location | Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | February 15, 2023 |
Category | Government Management |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kupika vyakula vya aina mbalimbali; ii. Kutayarisha orodha ya vyakula vya mlo kamili (Balanced Diet); iii. Kuhakikisha vyombo vya kupikia vyakula vinakuwa safi; na iv. Kufanya kazi nyingine atakazoagizwa na Msimamizi wa kazi.
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya cheti yasiyopungua mwaka mmoja katika fani ya “Food Production” kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS C |