Madereva wanahitajika (100)

at Taxi Mtandao
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted January 17, 2022
Category Driver
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Hujambo ndugu dereva,
Je unamiliki chombo cha moto (Bajaj, Gari, Bodaboda)
au unafanya kazi za kuendesha vyombo tajwa hapo juu either kwa mkataba au una miliki?.

karibu nikushirikishe uweze kuingiza kipato cha ziada kwa kutumia chombo chako, ili uweze kucheza karata yako ya maisha vizuri ukiwa na uhakika wa kufanya kazi ndani na nje ya mtandao (kijiweni na mtandaoni)

KARIBU KUNIKUUNGANISHE UWEZE KUENDESHA NA PROGRAM YA BOLT

Bolt ni nini?
Bolt ni jukwaa ama mfumo wa kubeba abiria kwa njia ya mtandao (Request) ambayo inaweza kukukutanisha na mteja ki electronic yaani mteja anaweza kukuona kupitia mtandao mahala ulipo na akakurequest ukambebe badala ya kuja kijiweni ama kituoni ambapo unapaki.

Ni huduma ambayo ukiamua kufanya kazi kweli kwa kujituma basi hauwezi kukosa mpaka shs 120,000/= kwa siku yaani kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa nne usiku.

Mahitaji.
Leseni yako ya udereva ikiwa na madaraja C1 C2 na C 3 kwa gari

na A1 na A2 kwa pikipiki ama Bajaji

pia chombo chako ni lazima kiwe na Bima ya biashara , Kadi ya biashara (Namba Nyeupe) pamoja na Latra (zamani sumatra) na vyote viwe hai.

kama una nyaraka hizo unasubiri nini kuanza kujiajiri na ukawa Boss wewe mwenyewe kwa kutengeneza kipato kikubwa kwa siku?

Tunatoa huduma hizi Bure na ni kwa mikoa ifuatayo:-

  1. Dar es salaam
  2. Arusha

Na mikoa mingine tuko njiani kufika tutawajulisha mfano mbeya Iringa na Morogoro muda si mrefu tutawafikia.

Angalizo:- uwe hujawahi kujisajiri Bolt.