Assistant Registration Officer II

at Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA)
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 10, 2022
Category Government
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYDUTIES AND RESPONSIBILITIESQUALIFICATION AND EXPERIENCEREMUNERATION

NA

i.      Kusajili ndoa, vizazi na vifo na Muungano wa Wadhamini na kutunza kumbukumbu zake;

ii.    Kukusanya ada za ndoa, viazi na Muungano wa Wadhamini na kutunza kumbukumbu zake;

iii.   Kutayarisha rahisiri (index) za ndoa, vizazi na vifo kwa Wilaya na Mikoa;

iv.   Kutayarisha matangazo yahusuyo shughuli za miradhi yanatolewa katika gazeti la Serikali na hati za malipo mbalimbali kuhusu mirathi;

v.    Kutunza magazeti ya Serikali, nyongeza za Shria (Acts Suppliments);

vi.   Kutunza Ratiba za kesi za Mahakama zinazohusu mirathi (court diary) na kuwakumbusha Mawakili wa Serikali wanaohusika; na

vii.  Kuwaelekeza wananchi kuhusu utaratibu wa kuendesha mirathi.

Kuajiriwa  wenye Stashahada ya Sheria (Diploma in Law) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali

TGS.C