Assistant Registration Officer II
Location | Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | June 10, 2022 |
Category | Government Management |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
JOB SUMMARYDUTIES AND RESPONSIBILITIESQUALIFICATION AND EXPERIENCEREMUNERATION
NA |
i. Kusajili ndoa, vizazi na vifo na Muungano wa Wadhamini na kutunza kumbukumbu zake; ii. Kukusanya ada za ndoa, viazi na Muungano wa Wadhamini na kutunza kumbukumbu zake; iii. Kutayarisha rahisiri (index) za ndoa, vizazi na vifo kwa Wilaya na Mikoa; iv. Kutayarisha matangazo yahusuyo shughuli za miradhi yanatolewa katika gazeti la Serikali na hati za malipo mbalimbali kuhusu mirathi; v. Kutunza magazeti ya Serikali, nyongeza za Shria (Acts Suppliments); vi. Kutunza Ratiba za kesi za Mahakama zinazohusu mirathi (court diary) na kuwakumbusha Mawakili wa Serikali wanaohusika; na vii. Kuwaelekeza wananchi kuhusu utaratibu wa kuendesha mirathi. |
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sheria (Diploma in Law) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali |
TGS.C |