Model wa tangazo, photoshoot
Location | Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | September 14, 2021 |
Category | Photography / Videography |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
Description
Tutafanya photoshoot kwa kusambaza biashara yetu.
Tunatafuta models na cameraman.
Watu ambao wanacheka sana kama picha, wanahitazika sana.
Hawahitaji experience ya model. Kama baba yako au uncle yako akicheka vizuri, anisaidie.
Nitalipa kiasi.
Nipe ujumbe kwa WhatsApp pamoja na picha.
Asante.