Software Developer – Web & Mobile Apps

at Mathayo M. Kigi
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted December 8, 2021
Category IT / Information Technology
Software Development
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Habari wakuu, Mimi ni kijana mwenye Bsc IT & Systems, Nna ujuzi wa kutengeneza mifumo ya kompyuta, tovuti, UI\UX Design & Graphics.

Nakukaribisha tuweze kufanya kazi (binafsi/ofisi) na kuweza kutatua matatizo / changamoto mbali mbali katika biashara yako kwa njia ya kidigitali. Ujuzi wangu unaniwezesha kufanikisha kutengeneza Web Apps & Mobile Apps (Android & iOS).

Remunerations: Negotiable