MWANDAZI DARAJA LA II –

at Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted March 27, 2023
Category Government
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYOK
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi. Kuandaa meza ya kulia chakula;

ii. Kupamba meza ya kulia chakula;

iii. Kupanga vifaa vya kulia chakula mezani; na

iv.Kuondoa vyombo baada ya kula chakula.

QUALIFICATION AND EXPERIENCEWenye cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV na kufuzu mafunzo si chini ya mwaka mmoja katika fani ya ‘Food and Bevarages’ yanayotolewa na chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.

 

REMUNERATIONTGS B
Drop files here browse files ...