Natafuta kazi

at Daniel Lusanda
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted April 21, 2021
Category Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 mwenye Diploma ya Accountancy. Natafuta kazi inayoendana na elimu yangu au hata isiyo endana pia kwani napenda kujifunza zaidi kila siku. Nina ujuzi na uzoefu wa kufanya phone repair and maintenance, mauzo as a sales officer na computer skills. Napatikana Dar es Salaam Tegeta.