Volunteeering Jobs

at Mchukwi Mission Hospital
Location Dar es salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted February 22, 2020
Category Health Care / Medical
NGO
Job Type Volunteer
Currency TZS

Description

JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA KUJITOLEA KATIKA MRADI WA KUBORESHA AFYA YA MAMA NA WATOTO WILAYA YA KIBITI 2020 Hospitali ya misheni ya Mchulwi inapenda kuwatangazia wahusika katika idara ya afya kuwa kumeanzishwa mradi wa kuimarisha afya ya mama na mtoto hivyo kupunguza vifo na magonjwa yao. Mradi huu ni wakihuduma, kimisheni na sio kibiashara na unaratibiwa na makanisa ya kipentekoste ya Tanzania na Sweden. .

Wahusika wanaolengwa ni Wahudumu wa afya/community health workers, wauguzi/nurses na matabibu.

Mradi utatoa posho ya kujikimu na sio mshahara, gharama za safari eneo la mradi, semina, vyombo vya usafiri, na vitendea kazi vingine kwa watumishi watakao ajiliwa.

Eneo la mradi ni VUJUI 15 katika Wilaya ya Kibiti kuanzia February 2020-2022.

Applying Instructions

Maombi yatumwe kwa email maternal projectyahoo.com au kuletwa kwa mkono kwa uongozi Mchukwi mission hospital ambayo ni makao makuu Mwisho wa kutuma maombi ni 29/02/2020. Mawasiliano: Kiongozi wa mradi/ project leader 0717 539889
Mratibu wa mradi/ project coordinator 0712 273533 /0767 273533