TUNAHITAJI MTU WA MAUZO

at Jacer Store
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted May 31, 2022
Category Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Jacer Store, tunajishughulisha na biashara ya kusambaza vinywaji baridi. Tunahitaji kijana wa kike ambaye ataweza kuendana na kasi ya kufanyakazi, kwa kujituma, kulingana na majukumu atayopewa.
Majukumu ya Kazi.

  1. Kutafuta masoko mapya, na kuhakikisha kutoa huduma kwa wateja kwa nidhamu.
  2. Kutoa ripoti ya mauzo kila siku.
  3. Kuwa mwaminifu katika maswala yote yanayohusiana na mauzo.

Vigezo vya Muombaji.

  1. Awe Mtanzania, na asiwe na zaidi ya miaka 35.
  2. Elimu ya Kidato cha sita.
  3. Awe wa jinsia ya Kike.