Sales Agents (4)

at Boheta Agro Processing Limited
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted April 16, 2022
Category Sales and Marketing
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Tuna hitaji hasa vijana 4 wanajua kuendesha pikipiki na Wana leseni, ujuzi wa gari si lazima. Wenye uwezo wa kumtafuta masoko mapya na kusambaza bidhaa zetu ambazo ni mifuko ya karatasi yaani (paper bags)