DEREVA NATAFUTA KAZI

at Yoyote
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted August 9, 2021
Category Driver
Transport
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Habari zenu, naitwa suresh mdose naomba kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva kwenu, nina uzoefu nayo wa kutosha na nina leseni daraja A A2 B D E, kwa shughuli za usambazaji wa bidhaa, kumuendesha mtu binafsi au familia na shughuli yoyote ya kampuni au shirika,
NI MCHAPA KAZI
NAJITUMA
NAELEWANA NA WATU WA RIKA ZOTE, Asanteni sana.