NATAFUTA KAZI YA SECRETARY AU RECEPTIONIST

at OFFICE BINAFSI, SHULE, KAMPUNI, VIWANDA
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted April 30, 2021
Category Customer Service
Secretary
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Natafuta kazi ya sekretari au mapokezi, ninauzoefu wa miaka zaidi ya 10, ninaumri wa miaka 37, nimefanya kazi hii katika kampuni tofauti ikiwepo pia mashuleni, ninajuwa vizuri sana matumizi ya computer program zote, pia nina uwezo wa kuchapa kwa speed nzuri sana. Tafadhani mwenye uhitaji wa mfanyakazi kama mimi naomba wasiliana na mimi