DADA WA KAZI
Location | Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | October 25, 2021 |
Category | Skilled Labour |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
Description
Anahitajika Mfanyakazi wa Ndani kwenda kufanya kazi Cairo-Egypt.
Umri :Miaka 30-40
Dini: Muislamu
Awe na Passport tayari
Awe na Experience ya Kazi za Ndani na Mapishi
Mshahara USD 300 (Tsh 690000)
Atapewa Likizo ya Siku 30 kwa mwaka mmoja
Ticketi ya Ndege na Vipimo vya Covid-19 atalipiwa.