Domestic Workers (20)

at Premium Home Managers Agency
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted October 25, 2021
Category Skilled Labour
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Premium Home Managers Agency ni kampuni inayohuumia familia za Kitanzania na Wafanyakazi wa Majumbani wa aina Zote Wapishi,Wafanya Usafi,Walezi wa watoto,Watunza Bustani na Wafanyakazi za ndani za watoto.
Tunahakikisha Wafanyakazi wetu wanalipwa kwa wakati na wanapata haki zao ikiwemo siku ya kupumzika na likizo kwa kuingia mkataba na Mwajiri badala ya mfanyakazi mwenyewe kuajiriwa na Mwajiri.Tunatoa pia Mafunzo kwa wafanyakazi wetu ili kuwajengea Maarifa na Uwezo wafanyakazi wetu kufanya kazi hii kwa weledi.Ajiriwa sasa na Sector Kubwa ya Kazi za Majumbani ukiwa chini ya Kampuni.