Accounts Assistant

at Musoma District Council
Location Musoma, Tanzania, United Republic of
Date Posted April 14, 2022
Category Accounting
Audit
Finance
Government
Job Type Contract
Currency TZS

Description

JOB DETAILS:
Duties and Responsibilities
• Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
• Kutunza Kumbukumbu za hesabu;
• Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
• Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualification and Experience
• Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa zingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.