Receptionist
Location | Dar es salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | March 21, 2020 |
Category | Management |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
JOB DETAILS:
Tangazo La Nafasi Za Uhamisho Kwa Watumishi Wa Umma
Taasisi ya Uhasibu Tanzania ina nafasi 34 kwa kada mbalimbali kwa ajili ya watumishi walioajiriwa na serikali kuhamia Taasisi ya uhasibu Tanzania. Nafasi hizi zinategemewa kujazwa katika Kampasi zetu zote sita (6) kama inavyoonekana katika mchanganuo;
Nafasi Za Kujaza Kwa Njia Ya Uhamisho Taasisi Ya Uhasibu Tanzania
NA: 2
Cheo: Receptionist
Idadi/Nafasi: 1
Kituo Cha Kazi (Kampasi): Dsm .
Applying Instructions
Vigezo Vya Kuhamia
• Uwe mwajiriwa wa Serikali mwenye umri usiozidi miaka 40
• Barua ya maombi ipitishwe na mwajiri wako na igongwe muhuri
• Ambatisha Vyeti vya Taaluma pamoja na Transcripts na vyote viwe certified
• Ambatisha nakala ya cheti cha kuzaliwa (Certified)
• Ambatisha taarifa binafsi (CV)
• Waombaji waalimu (Assistant Lecturer GPA 3.8 (First Degree) 4.0 (Master’s)
• Muombaji athibitishe atajigharamia uhamisho huo.
• Muombaji aweke check Na. kwenye barua ya maombi.
• Maombi yote yaandikwe na kutumwa kwa
AFISA MTENDAJI MKUU,
TAASISI YA UHASIBU TANZANIA,
S.L.P 9522,
DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 Machi, 2020
Imetolewa na
Afisa Mtendaji Mkuu,
Taasisi ya Uhasibu Tanzania