Trainer (Veterinary Doctor)

at Livestock Training Agency (LITA)
Location Dar es salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 9, 2021
Category Health Care / Medical
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Kutafsiri mitaala na kufundisha ngazi ya NTA Level 4-6,

ii.Kutunga na kusimamia Mitihani ya upimaji na na mitihani ya mwisho wa muhula,

iii.Kuandaa “Training materials” na learning resources” na kuwapatia wanafunzi,

iv.Kuwasimamia na kuwasaidia wakufunzi wasaidizi,

v.Kusimamia mafunzo kwa vitendo vyuoni na uwandani,

vi.Kutambua mahitaji ya wanafunzi wenye uhitaji maalum na kuwasaidia,

vii.Kutoa mafunzo na ushauri kwa wafugaji na wadau wengine katika sekta ya mifugo,

viii.Kuandaa na kusimamia midahalo ya masomo ya wanafunzi,

ix.Kufanya  tafiti na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau wengine na;

x.Kufanya kazi zingine zitakazotolewa na viongozi.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCEAwe amehitimu shahada ya kwanza ya Sayansi ya Tiba ya Mifugo kutoka chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa na Baraza la Veterinari Tanzania (VTC). Awe amefaulu kwa angalau wastani wa alama B katika masomo yake yote.
REMUNERATIONPTSS 11