Security Guard

at Kiduli Security Company
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted July 26, 2022
Category Security
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

About the job

ZA MWOMBAJI

  1. Awe mtanzania mwenye umri kati ya miaka 20 – 45
  2. Awe amepitia mafunzo ya mgambo (jeshi la akiba) au JKT
  3. Awe na elimu kuanzia darasa saba na kuendelea

MAOMBI NA VIAMBATANISHO

  1. Barua ya Maombi ya kazi (ibandikwe picha aina ya passport)
  2. Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa unapoishi
  3. Kivuli (Copy) cha kitambulisho cha Taifa au cha mpiga kura
  4. Barua ya wadhamini wawili, picha zao (passport size) na vivuli (copy) vya vitambulisho vyao pamoja na utambulisho wao kutoka serikali za mtaa wanapoishi
  5. Kivuli (copy) cha cheti cha kuhitimu mafunzo ya JKT au Mgambo (jeshi la akiba)

Maombi yafikishwe kwenye ofisi za KIDULI SECURITY COMPANY LIMITED zilizopo Kiluvya madukani, karibu na njia panda ya kwa Sumaye.

Applying Instructions

Kwa maelekezo ya kufika ofisini tafadhali piga simu namba, 0622 689 422 au 0757 249 410.