Secretary

at Office yoyote
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted July 18, 2021
Category Management
Secretary
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Natafuta kazi, nina uzoefu wa kutosha kufanya kazi ya katibu mahsusi, mpokea wageni ofisini, au huduma kwa wageni/wateja ofisini. Nina miaka 37, ila ni mchapakani, nidhamu na mwenye kujituma sana. Natafuta kazi Arusha Mjini.