Pump Attendant

at Kituo cha Mafuta Vikindu
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted July 28, 2021
Category Customer Service
Oil & Gas
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Kituo cha mafuta kilichopo maeneo ya Vikindu, Mkuranga, kinatafuta kijana wa kiume kwa ajili ya kazi ya kuuza mafuta.

Vigezo

  1. Lazima awe kijana wa kiume.
  2. Awe mchangamfu na mwenye kuweza kutoa huduma bora kwa wateja kwa furaha na tabasamu.
  3. Awe chapu na mwenye kuweza kufanya mahesabu vizuri.
  4. Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka cha sita.
  5. Aweze kufika kwenye kituo cha kazi Vikindu bila matatizo yoyote, kama akichaguliwa kufanya kazi hii. Akiwa anaishi karibu, ama kama ataweza kuhama ili kuwa karibu, itakuwa ni bora zaidi.

Wale wote wasio na ujuzi wa kufanya kazi ya kuuza mafuta watapewa kipaumbele.

Tuma maomi ukiambatanisha picha yako na CV yako. Barua ya maombi sio lazima.

Tuma maombi mapema maana tangazo la kazi litafungwa mara moja, pale mwombaji sahihi akipatikana.

Mshahara ni 200,000 kwa mwezi.