Natafuta kazi ya kufanya

at Maombi ya kazi
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted August 7, 2021
Category Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Naitwa isihaka mashaka ramadhani, nina diploma ya ualimu wa sekondari kwa somo la hisabati na sayansi ya computer. Natafuta kazi ya kufanya yeyote ile ambayo kwa uwezo wangu naweza ifanya isiangalie elimu yangu. Inaweza kua nje au ndani ya kile nilichosomea ilimladi iwe halali na iingize ela.