Office Manager Class II
Location | Kilosa, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | July 13, 2025 |
Category | Management |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description

JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri; ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa; iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine; iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi; v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika; vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika; vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali; viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS C |