Natural Hair Hairdressers (3)

at Elle Naturals
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 5, 2021
Category Fashion
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Wanatafutwa wafanyakazi wa saluni wenye uwezo wa kuhudumia natural hair kwa ufanisi.

Awe na ujuzi mahsusi wa kuhudumia nywele asili/natural hair usiopungua miezi 6
Awe anajua kuhudumia nywele asili/natural kwa kutumia bidhaa sahihi kwa kila aina ya nywele kwa wateja
Awe anajua kusuka nywele asili mitindo tofauti bila kuongeza extensions na kwa kuongeza extensions
Awe na uwezo wa kumshauri mteja namna nzuri ya kutunza nywele asili
Awe mnadhifu
Awe makini katika kazi na kua mkarimu kwa wateja