Natafuta kazi ya stationery

at Abiya Charles
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted May 15, 2021
Category Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Nina umri wa miaka 27 ninaishia Dar es salaam maeneo ya African Mbezi Beach ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 hivyo ninaouzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.
Ninaouwezo wa kutumia computer vizuri na kuchapa document kwa haraka niweza kutumia program ya Microsoft office na kuandaa , Card za sherehe mbalimbali ikiwemo Harusi Seandoff, Kitchen party.