NATAFUTA KAZI YA SECRETARY AU STATIONERY (2)
Location | Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | June 8, 2021 |
Category | Secretary |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
Description
Naitwa Betty Phaustine naishi Dar es salaam natafuta kazi ya Secretary au stationery itakayopatikana nipo tayari kufanya ndani ya Dar es Salaam nimesomea Secretary course nina Certificate pia nimefanya kazi hii kwa miaka 4 nauwezo wa kuandaa Tendering. Stationery nimewahi kufanya kazi hii kwa miaka 3 ninaiweza, pia naweza kufanya majukumu mengine ya ndani ya kazi nitakayopewa nia yangu nijifunze zaidi.