NAFASI ZA WAKALA WA MAUZO (FREELANCERS)

at Mileage Expos Tanzania Ltd
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted March 11, 2021
Category Management
Job Type Freelance
Currency TZS

Description

Description

MILEAGE EXPOS ,kwa niaba ya DSTV Tanzania inatangaza nafasi za kazi za FREELANCERS /SALES AGENTS/WAKALA WA MAUZO ya ving'amuzi vya DSTV.

Nafasi hizo ni kwa mikoa ya Tanga,Kilimanjaro na Arusha.

Malipo ni Kamisheni na Bonasi kutokana na mauzo utakayofanya.
Kazi ni nzuri na rahisi inayokupa fursa ya kuongeza kipato