MWANDAZI DARAJA LA II –
Location | Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | March 27, 2023 |
Category | Government Management |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description

JOB SUMMARY | OK |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuandaa meza ya kulia chakula; ii. Kupamba meza ya kulia chakula; iii. Kupanga vifaa vya kulia chakula mezani; na iv.Kuondoa vyombo baada ya kula chakula. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Wenye cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV na kufuzu mafunzo si chini ya mwaka mmoja katika fani ya ‘Food and Bevarages’ yanayotolewa na chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.
|
REMUNERATION | TGS B |