MPISHI II (28)

at MDAs & LGAs
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted February 15, 2023
Category Government
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.  Kupika vyakula vya aina mbalimbali;

ii. Kutayarisha orodha ya vyakula vya mlo kamili (Balanced Diet);

iii. Kuhakikisha vyombo vya kupikia vyakula vinakuwa safi; na

iv. Kufanya kazi nyingine atakazoagizwa na Msimamizi wa kazi.

 

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya cheti yasiyopungua mwaka mmoja

katika fani ya “Food Production” kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATIONTGS C