This job posting expired and applications are no longer accepted.

MPISHI

at Kankwi Company Limited
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted September 14, 2021
Category Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Anahitajika mpishi wa vyakula vya kiswahili.

  • Awe na uzoefu wa si chini ya miaka 2 kupika vyakula vya kiswahili
  • Aina vya vyakula ni kama wali/wali wa nazi, pilau, biriani, ugly, ndizi moshi/bukoba, chapati, maharage ya nazi, mchuzi wa nyama/kuku, mboga za majani n.k