Mhudumu Wa Jikoni /Mess Daraja La II

at Kasulu Town Council
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted November 21, 2020
Category Government
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB DETAILS:
Halmashauri Ya Mji Kasulu
KUMB NA.KSTC/S.1/20/52
12/11/2020
Tangazo la nafasi za kazi. Mkurugenzi wa halmashauri ya mji kasulu anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sifa za kuomba nafasi za kazi zifuatazo: .

Sifa za Mwombaji.
Awe na cheti cha Kidato cha Nne na uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitatu.

Job Skills: Not Specified

Kazi za Kufanya:
• Kusafisha vyombo vya kupikia.
• Kusafisha vyombo vya kulia chakula
• Kusafisha meza itumiwayo kwa kulia chakula.
• Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya Mpishi na Mezani
• Kusafisha maeneo ya kulia chakula na kupikia
• Kuwasaidia waandazi na Wapishi

Job Education Requirements: Not Specified

MSHAHARA. Kwa kuzingatia ngazi ya Mshahara kwa watumishi wa Umma TGOS Au kwa mwezi.

Applying Instructions

MAELEKEZO YA JUMLA NA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI:
• Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri kati ya miaka 18 - 45.
• Wawe hawajawahi kuajiriwa serikalini.
• Barua za maombi ziambatishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Taaluma, Cheti cha
• Kuzaliwa na Picha mbili (2) za rangi (Passport size) za hivi karibuni. Pamoja na maelezo binafsi (CV).
• Testmonials, "Provisonal Results" Statement of Results" hati za matokeo za kidato cha Nne na sita (Form IV and Form VI Results Slips) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka
• Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA/NACTE)

Namna ya kuwasilisha maombi: Barua ya maombi iandikwe kwa mkono.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26/11/2020 saa 9:30 Alasiri

Maombi yote yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji,
S.L.P 475
KASULU.