MHANDISI II (UMEME) – 10

at Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa (Tamisemi)
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted October 19, 2021
Category Electrician
Engineering
Government
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

 

JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomuhusu ili kumuwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi;

iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi;

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya ufundi na umeme yanayowasilishwa Wizarani; na

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa  wahitimu  wa  kidato  cha  Nne/sita  waliofuzu  Mafunzo  ya  Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Umeme (Bachelor of Science in Electrical Engeneering) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONTGS E