Meneja wa Hoteli

at The Galeviva Hotel
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted May 29, 2021
Category Hospitality
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

The Galeviva Hotel, iliyoko Nkuhungu Chama-Dodoma, inatafuta Meneja wa Hoteli.
• Mwombaji anatakiwa awe na uzoefu wa miaka mitatu katika kusimamia na kuendesha hoteli kwa ufanisi mkubwa.
• Awe na diploma katika hotel management/marketing
• Awe na uzoefu kwenye Biashara na Masoko ya hoteli.