Matron (2)

at Siha Leadership School
Location Kilimanjaro, Tanzania, United Republic of
Date Posted October 9, 2021
Category Education / Teaching
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Kila mwombaji anapaswa kuwa na;
• Awe na uwezo wa Kuongea, Kusoma, na Kuandika lugha ya Kiingereza kwa ufasaha.
• Awe mkristo aliyeokoka na mwenye maisha ya ushuhuda wa maisha ya kila siku.
• Awe na elimu ngazi ya cheti au Astashahada ya Ualimu/malezi ya watoto wadogo kutoka kwenye chuo kinachotambulika/ kukubalika na Serikali.
• Awe na uzoefu usipungua mwaka mmoja (01) wa kukaa na watoto wadogo au wa bweni (Boarding).
• Awe na moyo wa kupenda watoto, kuwatumikia na mpenda maendeleo ya watoto.
• Awe na uwezo wa kufanya kazi kama timu (team work).
• Asiwe amewahi kutiwa hatiani kwa kosa la unyanyasaji wa mtoto/watoto.
• Awe na uwezo na elimu ya kutumia Kompyuta hasa programu kama ‘Micro - soft office’ (Word, Excel, na Power Point) na Internet).