Main Language Inspector Grade

at Kiswahili National Council (BAKITA)
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted November 25, 2021
Category Communication
Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Kusimamia sehemu ya utafiti

ii.Kushughulikia mambo yahusuyo masomo ya Kiswahili kwa wageni.

iii.Kutoa mwongozo kwa waandishi na wachapishaji vitabu kuhusu uandishi Bora.

iv.Kuratibu warsha, semina na mikutano ya kamati ya lugh na fasihi.

v.Kusimamia kazi ya utoaji ushauri kwa wanafunzi wa sekondari na vyuo     wanapoandika kazimradi.

vi.ANAWEZA KUTEULIWA KUWA MKUU WA IDARA

vii.Kufanya kazi nyingine atakayopangiwa na mkuu wake wa kazi

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE•Shahada ya kwanza na ya Uzamili katika Masomo ya fasihi, Lugha au isimu ya Kiswahili kutoka chuo cha elimu ya juu               kinachotambuliwa na Serikali.

•Uzoefu wa kazi usiopungua miaka nane

•Awe ameandika makala yoyote au kitabu kinachohusu fasihi au isimu ya lugha ya Kiswahili kama vile tasnifu.

 

REMUNERATIONPGSS 10