KUSAMBAZA DAGAA NA SAMAKI (10)

at 4S Company
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 22, 2021
Category Management
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Nahitaji vijana wa kusambaza Dagaa na samaki wakavu mtaaani, kama uko Mbezi Mwisho itakuwa rahisi zaidi.

Awe wa kujituma kwenye kazi na mwenye nia ya kujikwamua kimaisha kwani akifanya kazi vizuri atawezeshwa mtaji kidogo kuanzisha Biashara yake.

Mshahara Ths. 150,000 kwa mwezi