Kitchen Servant Grade II
Location | Njombe, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | July 20, 2024 |
Category | Government Skilled Labour |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
JOB SUMMARY | N/L |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kusafisha vyombo vya kupikia ii.Kusafisha vyombo vya kulia chakula iii.Kusafisha sehemu ya kulia chakula iv.Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya kazi v.Kusafisha maeneo ya kupikia
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa Kitado cha IV wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Jikoni kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali |
REMUNERATION | TGOS A1 |