Housekeeper(head)

at Aishi Development Limited
Location Kilimanjaro, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 3, 2022
Category Management
Skilled Labour
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Kampuni ya Aishi Development Limited inatafuta head of Housekeeper ambaye atakua ana majukumu yafuatayo;

  1. kugawa majukumu kwa housekeepers na Kuwasimamia katika kutekeleza majukumu yao.
  2. kuandaa ratiba itakayoonesha zamu za Housekeeper

Sifa

  1. Awe amesoma Hotel management
  2. Awe na uzoefu na kazi hiyo