House Maids

at Monalisa Commercial Cleaning & Landscaping Co Ltd
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 5, 2021
Category Cleaning
Skilled Labour
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

We are currently hiring house maids for our clients. If you think you are the right candidate and you fit the below requirement. Kindly send us your resume/cv.

Tunaajili wadada wa nyumbani kwajina lingine house girls kwa ajili ya wateja wetu. Hapo chini kuna vigezo, ukiona unakidhi vigezo hivyo tunaomba ututumie barua yako ya kazi na viambatanisho vingine.

Vigezo:

  1. Uwe unafahamu usafi, uwe ni msafi au umeshawahi kufanya kazi za usafi.
  2. Uwe unajua kuongea kiswahili na kingereza kiasi
  3. Uwe unajua kupika, kufua na kadhalika
  4. Uwe na elimu isiyopungua form 2
  5. Uwe unapenda na kujua kuwatunza,kulea watoto.
  6. Uwe unaishi na kupatikana Dar es salaam

Viambatanisho:

  1. Barua ya maombi ya kazi
  2. Barua ya serikali za mitaa, Utambulisho
  3. Barua za wadhamini wa tatu na picha zao
  4. Kitambulisho cha Taifa au Leseni