House Maid /NANNY

at Premium House Managers
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted May 6, 2021
Category Skilled Labour
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Premium inatafuta mabinti na wanawake wachapakazi/waaminifu ambao wako tayarii kujitolea kufanya kazi za ndani.
Umri :Miaka 23-40
Dini:Yoyote
Kazi:Awe tayari kufanya kazi ya kukaa au day work
Ujuzi;Awe na Experience na awe tayari kupokea mafunzo ya kazi kwa muda usiopungua Mwezi Mmoja.Gharama za Mafunzo ni Tsh 50,000/
Awe tayari kufanya kazi Mahali Popote Tanzania
Awe na wadhamini wanaoleweka
Awe anapenda kupika,watoto,usafi na mwaminifu na mchapakazi
Awe tayari kupima Afya
Awe tayari kupima Afya