Health secretary
Location | Morogoro, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | July 11, 2020 |
Category | Health Care / Medical Secretary |
Job Type | Full-time |
Currency | TZS |
Description
JOB DETAILS:
Nanguji (Nanguji Memorial Hospital) iliyopo Manispaa ya Morogoro, mtaa wa John Mahenge unatangaza nafasi za kazi katika kada zifuatazo .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Sifa Za Mwombaji
• Awe raia wa Tanzania
• Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 50
• Awe na cheti cha Taaluma husika
• Awe na leseni ya kazi (kwa kada za afya)
• Awe amesajiliwa na Baraza la taaluma husika mfano; MCT,TNMC n.k
• Awe na cheti cha kidato cha nne/sita
• Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe na ithibati accreditation) kutoka tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU)
Applying Instructions
Viambatanisho
• Nakala ya kitambulisho cha Uraia na cheti cha kuzaliwa
• Nakala za vyeti vya Taaluma
• Nakala ya cheti cha usajili
• Nakala ya leseni ya kazi
• Nakala ya cheti cha kidato cha nne na kidato cha sita
• Wasifu wa mwombaji (CV)
• Nakala ya Cheti cha mafunzo kwa vitendo (internship)
• Picha ndogo (passport size) mbili za hivi karibuni
• Nakala zote za vyeti ziwe zimethibishwa Mahakamani/wakili
• Maombi yote yatumwe kwa ;
MKURUGENZI MTENDAJI
NANGUJI MEMORIAL HOSPITAL
P.O.BOX 6194.
MTAA WA JOHN MAHENGE MOROGORO
1. Barua pepe-nangujimemorial@gmail.com
- drnyumba23@gmail.com
2. Masijala - Nanguji Memorial Hospital
Mwisho wa kupokwa maombi ni tarehe 24/07/2020 SAA KUMI KAMILI ALASIRI