Fleerancers
Location | Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of |
Date Posted | March 8, 2024 |
Category | Management |
Job Type | Freelance |
Currency | TZS |
Description
Fleerancers Job at MM Connect
MAHITAJI YA KAZI:
Uzoefu wa kufanya kazi katika mauzo ya bidhaa za data kama vile router na simu.
Kuwa mkazi wa mkoa husika unakotaka kuomba kazi.
Uwezo wa kuzungumza Kiswahili na Kiingereza kwa vizuri.
Ujuzi wa kuendesha gari na kuwa na leseni hai utapewa kipaumbele. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Umri usiozidi miaka 32.
Applying Instructions
Tuma CV kwa:
recruitment@mmconnect.co.tz
AU What'sApp 0764064200
Maombi haya yanakubaliwa kila wakati bila kikomo cha muda.