This job posting expired and applications are no longer accepted.

Driver Class II

at Msalala District Council
Location Msalala, Tanzania, United Republic of
Date Posted July 3, 2024
Category Driver
Government
Transport
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  2. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  6. Kufanya usafi wa gari; na
  7. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEMwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONTGS B