Driver (BOLT/UBER)

at Bolt
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted May 26, 2021
Category Driver
Transport
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 32, ni dereve bolt mwenye uzoefu sana na ni muaminifu... nahitaji gari ndogo ili niitumie kwa ajili ya BOLT... gari naweza itumia siku nzima au nusu siku kuanzia jioni mpaka asubuhi na malipo tutakubaliana... ni mwenyeji sana wa Dar es salaam na najua barabara zote na najua jisni ya kutumia ramani vizuri sana
nina uzoefu wa udereva mwaka wa 7 sasa
asante