Driver

at Leah John
Location Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted June 24, 2021
Category Driver
Transport
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Habari.

Naitwa Leah John. Ni dereva Mwegelo uzoefu wa saidi ya miaka tisa hasa kusafirisha abiria na kutoa huduma bora. Nimeendesha na mitandao ya usafirishaji kwa miaka mitano na sasa natafuta Kazi ya udereva.

Nina uwezo wa kuongea kiingereza na Kiswahili fasaha. Elimu yangu in shahada ya juu.

Kwa yeyote mwenye gari na anatafuta dereva tafadhali naomba tuwasiliane ili tuweze kusaidiana.

Ahsante.