Digital Marketing Officer

at The Aloe Tanzania
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted May 7, 2021
Category Advertising
IT / Information Technology
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

TANGAZO LA KAZI(BIASHARA)

Vijana wengi wanajitambua na wanahitaji kazi Lakini wamekosa muongozo sahihi wa Maarifa ya kiutendaji yanayoendana na teknolojia au platform ya kisasa katika kufanyia kazi zao.

Wanahitajika vijana watano wenye Elimu kuanzia kidato cha Sita na hadi Chuo. Utafundishwa bure coarse fupi ya mwezi mmoja namna ya kufanya mauzo kwa njia ya Kidigitali kupitia internet ya smartphone yako. Kisha utaunganishwa moja kwa moja kwenye kazi ,kibiashara zaidi.
Kama unajitambua na upo sirias

Tuma ujumbe neno DIGITAL MARKETING kwenda whatsapp Piga Simu usaidiwe