(DEREVA) Natafuta kazi ya udereva

at Baraka Kayugwa
Location Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
Date Posted March 23, 2021
Category Driver
Job Type Full-time
Currency TZS

Description

Description

Mimi ni dereva wa magari makubwa na madogo mwenye leseni iliyo hai yenye madaraja A,B,D,C na E
Pia nina uzoefu usiopungua miaka minne barabarani

ELIMU YANGU

Nina elimu ya form IV

Nimepitia mafunzo ya taaluma ya udereva katika chuo cha taifa cha usafirishaji NIT

Mbali na udereva pia ninalifaham gari kinadharia na vitendo kwani nimepitia mafunzo ya ufundi magari kutoka VETA